Saturday, December 3, 2011

MHESHIMIWA MO...MBUNGE WA SINGIDA MJINI!

Mheshimiwa Mohamed Dewji a.k.a MO, Mbunge wa CCM Singida Mjini, akiyarudi pamoja na wanakwaya wa kanisa la Anglikana Singida mjini. Jamaa huyu huwa nampenda sana kwa kujichanganya kwake na wapiga kura wake.
- Safi sana Mh.Mo...endelea na moyo huo huo kuwajali wananchi wako.

No comments:

WATEMBELEAJI