Jamaa wakijiandaa kabla hawajaanza kulirusha hili dude angani....huwa wapo bize sana hasa hatua za mwisho mwisho kabla hawajaanza kupaa angani! Ila nawasifu sana hawa jamaa....nilikuwa napenda sana tena sana kuyarusha haya majamaa ila basi tu! sina jinsi. Ndoto yangu haikuzaa matunda.
No comments:
Post a Comment