Sunday, December 25, 2011

MPITANJIA AKIPATANA BEI NA MUUZAJI WA MAPAMBO!

Mpitanjia akipatana bei na muuzaji wa mapambo, kando kando ya barabara ya Msimbazi, Kariakoo - Jijini Dar es salaam....katika kujiandaa na sikukuu hizi za Krismas na Mwaka mpya.

- Picha na Mohamed Mambo.

No comments:

WATEMBELEAJI