.........WA MWALIMU WA MIAKA MITATU!
Nimesoma kwa masikitiko Gazeti la Mwananchi.....kuwa mshahara wa Mbunge wa Mwezi ni mshahara wa Mwalimu wa Msingi, miaka mitatu na mshahara wa Medical Doctor wa Mwaka mmoja. Pamoja na hayo bado wanataka kujiongezea. Kumbe ndio maana watu wengi wanakimbilia Ubunge.
- Hii vita ni yetu sote Watanzania wote kwa ujumla, tunavyonyonywa na si Walimu tu! kama inavyosemekana.....tuungane tuupinge unyonyaji huu.
No comments:
Post a Comment