Thursday, December 8, 2011

NDIVYO MNAVYO WAWAKILISHA WANANCHI WENU BUNGENI EHH??


Kwa raha zao.....kudadadeki, (Mbunge na Waziri - Mbunge). Bungeni Dodoma.
Sijui wapigakura wao wakiwaona watasemaje....watawachagua tena? Ila usingizi hauna adabu kabisa.....kazi kweli kweli!!!!!

No comments:

WATEMBELEAJI