Thursday, December 22, 2011

NILIKUTANA NA MANENO YA MZEE MZIMA KWENYE MTANDAO!

Nilikutana katika Mtandao na maneno ya Mzee Mzima Jakaya Kikwete a.k.a JK, Rais wetu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, alikuwa akisema hivi;

Nimepokea baadhi ya Ujumbe/Maoni toka kwenu......(yaani wale marafiki zake katika mtandao);

1). ''Hello Rais wangu''...Serikali kwa sasa sio sikivu tu bali imekuwa na upole uliopitiliza kiasi kwamba Wanasiasa uchwara na Wanaharakati uchwara wanaitumia nafasi hiyo vibaya. Serikali ikiendelea kuwa kimya sana katika swala hili, ni hatari sana kwa mstakabali wa Taifa letu. Freedom of speech ni kubwa mno. Mungu ibariki Tanzania. Kazi njema (Max).

2). ''Sometime People talk without.....

Naye Mzee Mzima JK, alipendezewa na huu ujumbe na kuuweka katika mtandao wake!

No comments:

WATEMBELEAJI