Tuesday, December 27, 2011

NIMEPITA KUANGALIA KAZI YA LORI ZA KUPELEKA TANZANIA!




Leo ilinibidi tena nitembelee Modena, kuona kazi inaendeleaje ya marekebisho kidogo na kupaka rangi malori matatu ya kupeleka Dodoma - Tanzania. Kazi inaendelea vizuri sana wameniahidi Ijumaa watakuwa wamemaliza, na mimi nitazungukia tena huko kuona kama ni kweli kazi itakuwa imeisha.

No comments:

WATEMBELEAJI