Tuesday, December 13, 2011

NYIE MFUTE HALAFU MIMI NISIVUTE...HAIWEZEKANI KABISA!

Ni fegi tu....kwenda mbele hapa, hakuna kunyimana lazima na mimi nivute...halafu nisikie mtu ananiambia oh fegi inamadhara...atanitambua!


- Lakini Mimi ninakwambia nakujibu; Fegi ina madhara ndugu yangu....achana nayo itakuua kabla ya wakati wako, shauri yako. We iga tu...utaona mwisho wake ulivyo.

WATEMBELEAJI