Saturday, December 3, 2011

NYUMBANI NI NYUMBANI TU!.....HATA KUWE VIPI NI KWENU TU!

Nyumbani kwa Mama yake na Mdau. Kijiji cha Kazinga - Bukoba Vijijini.

Migomba, Maharage, Mibuni, Mipapai, Maparachichi, Nyanya, Fenesi, Maembe, Nyanya mshumaa na Bamia kwa wingi...vyote hivi vinapatikana kwenye shamba la Mama.




Mihogo ikikaushwa kwa ustadi kwa ajili ya kusaga unga.



- Picha na Mdau wa MjengwaBlog - Bukoba.




No comments:

WATEMBELEAJI