Bendi ya muziki wa Dansi Ngoma Africa Band a.k.a FFU yenye makao yake nchini Ujerumani, inatoa salam za Heri ya Mwaka Mpya 2012 kwa wadau wote, Mabibi na Mabwana, Wakubwa na Watoto popote pale duniani.
Tunawatakieni kila heri na baraka za mwaka mpya 2012, afya njema, maisha bora, furaha, amani, upendo na mshikamano.
- HAPPY NEW YEAR 2012.
www.ngoma-africa.com
No comments:
Post a Comment