Picha za moja kwa moja kutoka eneo la Jangwani Jijini Dar es salaam - Tanzania, muda mfupi baada ya kuzingirwa na Maji/Mafuriko kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika Jiji la Dar es salaam.....na kufanya eneo la Jangwani kuonekana kama Ziwa.
- Picha hizi zimepigwa na kuletwa na Mdau Bilal Ahmed.
No comments:
Post a Comment