Friday, December 2, 2011

UCHIMBAJI VISIMA....NILIPOKWENDA MWEZI WA 5 MWAKA HUU!













Picha tulipokuwa tukichimba kisima cha maji huko Itigi, Manyoni - Singida vijijini. Kisima cha Wachina wanaotengeneza barabara ya Itigi - Tabora. Hii ilikuwa mwenzi wa tano mwishoni, mwaka huu.....kazi yako ndilo jina lako!

















Kontena la uzima....ndivyo tunavyo liita, maana lina kila kitu cha uzima; chakula, vifaa vya kazi, kulala n.k.











Maandalizi ya Kontena kabla ya kuondoka kwenda kuchimba visima Vijijini, hapa ni ndani ya CPPS - Water Project - Dodoma.

No comments:

WATEMBELEAJI