Wednesday, December 28, 2011

UONGO JAMANI.....UWE MWANGALIFU UNAPODANGANYA!

Kama unapenda kusema uongo....uwe mwangalifu sana na kukumbuka vizuri (Uwe na kumbukumbu nzuri) uwe unakumbuka ulichodanganya....kwani kuna siku uongo wote utakutokea puani.

- Uongo haufai kabisa katika maisha.....uwe mkweli tu jamani, kwanini uwe mwongo? huoni aibu kuhusu uongo wako?

No comments:

WATEMBELEAJI