Tuesday, December 27, 2011

WAATHIRIKA WA MAFURIKO....JIJINI DAR ES SALAAM - TANZANIA!

Waathirika wa mafuriko eneo la Jangwani - Dar es salaam....wakifua nguo zao na kusafisha baadhi ya vyombo vyao walivyofanikiwa kuviokoa. Kama walivyokutwa kwenye Mitaa ya Kongo, Jijini Dar es salaam.

- Picha na Fadhili Akida.

No comments:

WATEMBELEAJI