Friday, December 16, 2011

WADAU WALINIOMBA PICHA ZA MTAKATIFU DON.BOSCO!

Nilipata ujumbe wa wadau kama watatu wakiniomba sana niwatafutie picha za Don.Bosco....Nami bahati nzuri nimezipata na kuwapa zawadi hii kwa kuwatafutia picha hizi walizo ziomba. Nitaweka kwa awamu na mtiririko wa Matukio kuanzia safari yake kutoka nchini Italia hadi Tanzania. Hapa pichani ni nchini Italia; Mwili wa Don.Bosco ukiandaliwa tayari kwa kusafirishwa kwenda Tanzania, kutembelea Jumuiya zote za Don.Bosco - Tanzania. Pamoja na nchi mbalimbali za Afrika ikiwemo nchi jirani na sisi ya Kenya.



















Tunaondoka sasa nchini Italia....kuelekea Afrika pamoja na Mwili wa Mtakatifu Don.Bosco.









Tayari kuanza safari kutoka Italy hadi Tanzania. Na Afrika.











No comments:

WATEMBELEAJI