Rais Yoweri Museveni wa Uganda, akizungumza na Wakulima kutoka Muleba, Mkoani Kagera - Tanzania (hawapo pichani), walipomtembelea nyumbani kwake, Kijiji cha Rwakitura, nchini Uganda juzi, wakiwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi nchini Tanzania, Mh.Profesa Anna Tibaijuka, aliyeketi kushoto.
No comments:
Post a Comment