Sunday, December 25, 2011

WATOTO 16 WAZALIWA USIKU WA MKESHA WA X-MASS.

Baadhi ya Wazazi waliojifungua wakati wa mkesha wa Krismasi, wakiwa na watoto wao leo....katika Hospitali ya Mwananyamala - Jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa Muuguzi wa zamu katika Hospitali hiyo, Erika Massawe....watoto 16 walizaliwa Hospitalini hapo wakiwemo Wakiume 10 na Wakike 6.

- Picha na Francis Dande.

No comments:

WATEMBELEAJI