


Huwa najiuliza sana, na kutafakari sana; lakini sipati jibu kabisa...wala sipati picha. Barabara kama hii ni muhimu sana tena sana katika nchi yetu, tena inaingiza mahela mengi sana katika mambo ya Utalii, lakini angalia sasa inavyo; mashimo kila sehemu.....hivi kweli ni haki hii? Hii ni barabara kuu ya Tanga - Arusha, na hapa ni maeneo ya Same. Bado tuna kazi kubwa sana mpaka tuje kufika walipo wenzetu, sijui...????
No comments:
Post a Comment