Biashara na Malezi vyote vinafanyika kwa wakati mmoja...je ni sahihi?
Mfanyabiashara katika Soko kuu la Mji wa Mombo, Bi.Mwanaisha Juma...akiwa na Mwanae mchanga (Chini ya meza ya nyanya) akisubiri wateja wake Sokoni hapo, huku mtoto wake huyo akiwa amempumzisha chini ya bao lake la kuuzia bidhaa zake Sokoni hapo.
- Picha na Mashaka Mhando wa Globu ya Jamii, Tanga.
No comments:
Post a Comment