Nisipojituma nitakufa na njaa Wajukuu zangu....maisha magumuuuuu....!!!!sana.
Kazi ni kazi tu...!!! Mmoja wa waendesha baiskeli akiifanyia ukarabati baiskeli yake, mara baada ya kupata pancha, huku ikiwa imeshehena lumbesa ya magunia ya mkaa.- Picha na Michuzi Jr....mzee wa JIACHIE.
No comments:
Post a Comment