Thursday, January 5, 2012

KITU CHA KUMTOA MWALI KINAPOKOLEA..........

Msanii akicheza ngoma ya Sindimba huku amevaa kinyago usoni, katika hafla ya kuwatoa Wali...huko Yombo Kilakala, Temeke - Jijini Dar es salaam.
Baadhi ya Wakazi wa Yombo Kilakala, wakiwa wamembeba Mwali, wakati wa hafla maalumu ya kuwatoa Wali iliyonogeshwa na Ngoma za Asili katika eneo hilo.

- Picha na habari na Mdau Rashid Shoti.

No comments:

WATEMBELEAJI