Sunday, January 15, 2012

MANENO MAZURI YA JUMAPILI HII YA 2 YA MWAKA!

Ee Mwenyezi Mungu, nchi yote itakusujudia na kukuimbia, naam; italiimba jina lako wewe mtukufu.
Ee Mwenyezi Mungu wa milele, ndiwe unayeongoza mambo yote mbinguni na duniani....usikilize kwa wema dua zetu sisi taifa lako, utujalie amani yako maishani mwetu.

Nasi tumelifahamu pendo alilo nalo Mungu kwetu sisi, na kuliamini.

Ee Bwana sisi uliotushibisha mkate mmoja wa mbinguni, utujaze Roho wa upendo wako, utufanye tuungane katika ibada moja.

No comments:

WATEMBELEAJI