Sunday, January 29, 2012

MANENO MAZURI YA JUMAPILI HII YA 4 YA MWAKA!

Ee Bwana Mungu wetu, utujalie kukuheshimu kwa moyo wetu wote, na kuwapenda watu wote kwa mapendo ya kweli.

Heri walio maskini wa roho; maana ufalme wa mbinguni ni wao.....Heri wenye upole; maana watairithi nchi.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

nimeyapenda maneno haya jumapili njema kwa wote watakaopita katika kibaraza hiki.

Baraka Chibiriti said...

ASANTE...

WATEMBELEAJI