MAPENZI HAYACHAGUI KITU CHOCHOTE......
Kweli kabisa ule usemi usemao; mapenzi hayachagui kitu....uwe mrefu, uwe mwembamba, mnene, mweusi, mweupe, nk.....wote hupendwa, na mapenzi ya kweli hayana kizuizi chochote kile, yakifika yamefika tu! Angalia sasa hizi picha; huyu jamaa utafikiri huyo Mdada ni mtoto wake kabisa...kazi kweli kweli...!!!!
No comments:
Post a Comment