Wagonjwa 201 waaga dunia kufuatia mgomo wa Madaktari......wagonjwa waondoka na dripu Hospitali, wasema wanakwenda kufia nyumbani.....wengine watimkia kwa waganga wa kienyeji.
- Hii ni hatari sana katika maisha ya wananchi, jamani tuhurumieni......sisi ni binadamu kama nyinyi, hasa naongelea kwa viongozi wetu walitafutie ufumbuzi swala hili hatari sana.
No comments:
Post a Comment