Wednesday, January 18, 2012

MISA YA MAZISHI YA MAREHEMU MBUNGE REGIA MTEMA, IFAKARA. LEO!

Amulance ikiwasili, na kulakiwa na Waombolezaji wengi sana, ikiwa imebeba Mwili wa Marehemu Mbunge Mh.Regia Mtema....ikiwasili usiku wa kuamkia leo huko Ifakara - Morogoro.

Misa Maalumu ya Mazishi ya kumwombea aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu Chadema, Mh.Marehemu Regia Mtema, ikiendelea leo mchana huku mvua kubwa ikinyesha huku kwao Ifakara - Morogoro, kabla ya mazishi yake.
Sehemu ya Umati mkubwa wa Waombolezaji wakifuatilia kwa ukaribu sana Misa maalumu ya Mazishi hayo leo huko Ifakara - Morogoro.

- Picha na Habari na Mdau Ally Ulanga.

No comments:

WATEMBELEAJI