Huu si Mzinga wa nyuki!!...bali ni Mtambo maalum wa kutengenezea Pombe ya Moshi ama kama ijulikanavyo na Watanzania wengi ''Gongo'' na maneno mengine huitwa; ''Supu ya mawe''. Utengenezaji wa Pombe hii ni kosa sana la Kisheria nchini, lakini watu bado wanaendelea kutengeneza Pombe hii ambayo ukali wake huleta madhara kwa afya ya mtumiaji. Ila ona utaalam huu uliotumika kuandaa chungu hicho cha kupikia na kupozea. Halafu mnasema Watanzania hawana elimu.- Picha na Father Kidevu.
2 comments:
Mmmhhh!! humo mie simo kabisaaaaaaaaa!!
Hiyo ndiyo namna ya kutengeneza mafuta ya gari. Ichukue hiyo gongo uweke badala ya petrol inafanya kazi. Huraa mtama utaokoa matatizo ya mafuta.
Post a Comment