Tuesday, January 31, 2012

PICHA ZA KUPANDA MLIMA ZIKIENDELEA LEO TENA.........


Hapa ilikuwa ni kuchoka kisawasawa.....maana palikuwa ni pagumu sana, marafiki zangu walikuwa wakiniambia; Baraka kazana usochoke waza Makalala yako, au waza(------).........si semi maana mmmmhh.... utafauru kumaliza kuupanda mlima huu bila wasiwasi. Tulikuwa tukitaniana sana na kucheka ile mbaya, utani huo kweli ulinisaidia sana kuupanda Mlima huu.
Katika mapumziko, nikiwa hoi kwa kupanda mlima mkali....hapa ilikuwa karibu na kufikia kileleni.

Mikonozzz na warembo.

Katikati ya Pori tukipumzika kidogo na kupata story za hapa na pale hasa za Tanzania - Makalala, kabla ya kuendelea na kutembea kwetu kupanda Mlima.

- Picha za mwisho za safari hii ni hapo kesho tena...........

No comments:

WATEMBELEAJI