PETROLI; bado bei juu, UMEME; hali kadhalika, KODI ZA NYUMBA; balaa tupu, MCHELE NA NYAMA; usiseme kabisa, MICHANGO YA DINI; ipo juu na kila mara, MAHARI; nayo ndiyo kabisa, RATE ya dola; haisemeki kabisa.....SCHOOL FEES; utadhani unanunua Shule kabisa.
Sasa hii kweli ni; HAPPY NEW YEAR au HEAVY NEW YEAR?
No comments:
Post a Comment