Akina Mama wa makamo wa Kijiji cha Msowero, Tarafa ya Magole, Wilaya ya Kilosa, Mkoani Morogoro....wakiwa wamebeba mizigo mikubwa ya kuni kichwani kwaajili ya matumizi ya nyumbani, nishati hii hupatikana kwa shida sana katika Vijiji vingi vya Tarafa hiyo...hasa Msowero, kutokana na kuwepo mashamba makubwa ya mkonge. Kama walivyokutwa Kijijini hapo.
- Picha na John Nditi.
No comments:
Post a Comment