Wednesday, February 1, 2012

KICHEKESHO CHA LEO!

MGONJWA; Daktari nina matatizo ya kuota kila siku Panya wanacheza mpira.

DAKTARI; basi nitakupa dawa utumie leo ukifika nyumbani.

MGONJWA; Daktari...nitatumia dawa kesho, maana leo ndio watacheza fainali.

No comments:

WATEMBELEAJI