Leo ndio usiseme kabisa, imeshuka kwa wingi jamaa hii nyeupe kama nini (Theruji a.k.a Barafu).....hivyo kusimamisha mambo mengi hasa kuzunguka kwa magari. Leo imeshuka haswa na kufanya mambo mengi kufungwa, hata mimi safari yangu ya hapa na pale ya ki kazi ya leo imeshindikana kabisa, na kunifanya nibaki nyumbani kutwa zima.....sijui hapo kesho itakuwaje, ila wanajitahidi kusafisha barabara tuone hapo kesho.
No comments:
Post a Comment