Njooni; tuabudu, tusujudu, tupige magoti mbele za Bwana aliyetuumba....kwa maana ndiye Mungu wetu.
Ee Bwana, tunakuomba utulinde sisi watoto wako kwa pendo lisilo na mwisho. Na kwa kuwa twategemea tu neema yako ya mbinguni utuhifadhi daima kwa ulinzi wako.
Heri wenye huzuni; maana hao watafarijika.....Heri wenye njaa na kiu ya haki; maana hao watashibishwa.
No comments:
Post a Comment