Mwanafunzi aliyekuwa Kidato cha nne shule ya Sekondari Morogoro, inayomilikiwa na Serikali. Sikuzani Kibwana, leo ameanguka ghafla na kupoteza fahamu katika chumba cha Internet, baada ya kusoma matokeo na kujikuta amefanya vibaya kwenye mtihani huo ambapo aliongozana na wenzake ili waone matokeo hayo....wenzake wote wakiwa wamefauru.
1 comment:
Pole sana Sikuzani kama lilivyo jina lako kweli hukuzani..nakumbuka sana hali hii
Post a Comment