Aaahhh....sio lenyewe, kazi kweli kweli...!!!!!
Mara mbili tuliingia cha kike, hatimae tukalipata......ili kulisafisha walau, maana kutumia gari kwasasa haiwezekani kabisa kama huna sababu inayokulazimu utumie. Usipo safisha ipo hatari ukakuta kioo cha mbele kikubwa kimefunjika au bodi kupinda kwa juu (kwenye paa la gari) kwa kuzidiwa na mzigo mzito wa barafu.
No comments:
Post a Comment