Wauguzi wa Hospitali ya Amana, iliyopo katika Manispaa ya Ilala - Jijini Dar es salaam.....wakimshusha mgonjwa aliyekuwa amezidiwa kutoka kwenye gari la wagonjwa Hospitalini hapo leo. Baadhi ya Wananchi waliofika kupata matibabu, wamedai kuwa huduma zimerudi kama kawaida sasa.
- Picha na Habari na Mohamed Mambo.
No comments:
Post a Comment