SOKONI BIDHAA HAMNA.....SABABU YA BARAFU, SHIDA TUPU!
Masoko mengi hayana bidhaa kutokana na shida ya usafiri....Barabara (Miundombinu) haipitiki hasa kwa magari makubwa (Malori) shida tupu.....sababu ya barafu, watu wanakufa na mahangaiko kibao na wanasema na bado....sijui itakuwaje.
No comments:
Post a Comment