Thursday, February 9, 2012

TASWIRA ZA KIKAO CHA WAZIRI MKUU NA MADAKTARI NA WAUGUZI WA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI - DAR ES SALAAM.

Waziri Mkuu, Mh.Mizengo Pinda....akizungumza na Madaktari na Wauguzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Jijini Dar es salaam leo......kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Peniel Lymo, wapili kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mh.Hawa Ghasia.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari inayoongoza mgomo wa Madaktari, Dr.Stephene Ulimboka......akiuliza swali wakati Waziri Mkuu, Mh.Mizengo Pinda, alipozungumza na Madaktari na Wauguzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Jijini Dar es salaam leo Februari 9, 2012.
Baadhi ya Madaktari na Wauguzi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mh.Mizengo Pinda.....wakati alipozungumza nao.
Waziri Mkuu, akiagana na Mwenyekiti wa Madaktari Dr.Stephene Ulimboka.
Waziri Mkuu, akiagana na baadhi ya Madaktari....kabla ya kuondoka katika kikao hicho, leo tarehe 9, Februari 2012.
Waziri Mkuu, akiwaaga Madaktari mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao.

- Picha na Habari na Ofisi ya Waziri Mkuu.

No comments:

WATEMBELEAJI