Friday, February 3, 2012

WATU NA UTANI WA BARAFU KWA KUBUNI MAMBO MAMBALIMBALI.

Eti Friji ya kiana inayotokana na barafu, yote hii inatokana na kuwa na barafu nyingi sana ambayo haijawahi kutokea hapa Cesena. Yaani kama husafishi unaweza ukajikuta mlango haufunguki kabisa, kama hapa kwenye picha hii....hii sio utani bali ni kweli kabisa. Jamaa aliacha bila kusafisha, sasa ana friji kabisa.
....Samahani, mjini kati wapi ??

Eti jamaa (Rafiki yangu) anauliza mjini kati, utafikiri gari linatembea. Gari zimefunikwa hivi kabisa....unaweza ukakosa gari yako, usijue ipo wapi.


Kila kukicha mambo ni haya haya sasa....ya kusafisha barafu tu, mimi nimechoka kweli hali hii...mambo mengi sana yamesimama kwasasa. Shule zimefungwa, kazi zimefungwa, maduka, supermarket nk.....tabu tupu.

No comments:

WATEMBELEAJI