Sunday, March 25, 2012

MANENO MAZURI YA JUMAPILI YA 5 YA KWARESIMA!

Ee Bwana, unihukumu, unitetee kwa Taifa lisilo haki, uniokoe na mtu wa hila asiye haki. Kwa kuwa wewe ndiwe Mungu uliye nguvu zangu.

Ee Bwana Mungu wetu, tunakuomba utusaidie tuwe na mapendo kama ya Mwanao, aliyeipenda dunia hata akajitoa auawe.

No comments:

WATEMBELEAJI