Tuesday, March 27, 2012

MSIMU WA MAUA YA MATUNDA SASA HAPA ITALIA.






Kwa hapa Italy......sasa ni msimu wa kuchanua maua ya matunda, huwa napenda sana msimu huu maana sehemu mbalimbali hupendeza sana. Katika msele yangu ya leo nikapiga na picha hizi. Ni maua yavutiayo sana baada ya muda kupita yanakuwa matunda, matunda maarufu sana hapa Italy kama; Albicocco, Pesca, nk..........

No comments:

WATEMBELEAJI