Tuesday, March 27, 2012

NILIPOIONA PICHA HII MARA MOJA NIKAGUNDUA KITU!

Nilipoona picha za Vodafone na mambo ya maji Dodoma, katika mtandao wa Michuzi (Blog ya Jamii) mara moja nikagundua kazi zetu za CPPS-Water Project. Maana matenki kama haya na Windmill (Pampu ya kuvuta maji kutumia upepo) kwa muundo huu ni sisi pekee tutengenezayo Tanzania, pia kwa mbali nimeiona Lori ya Water Project hivyo ni kazi ya CPPS-Water Project........nimefurahi sana na kujivunia kwa kazi nzuri ifanyayo Water Project.

No comments:

WATEMBELEAJI