Thursday, March 29, 2012

WAKAANGA SAMAKI KATIKA SOKO LA FERI - DAR ES SALAAM.

Wakaanga samaki katika Soko la Feri - Magogoni, Jijini Dar es salaam.....wakiendelea na shughuli hizo kwenye moshi unaotokana na kuharibika kwa vitolea moshi huo kutanda, hivyo inawalazimisha kila wakati kutoka nje kupata hewa safi. Baadhi ya majiko yaliteketea kwa moto mwaka jana katika Soko hilo, na kwa mujibu wa mmoja wa wakaanga samaki hao, Ndg.Mfaume Namkopa, kuna jumla ya wakaanga samaki 143 wanaotumia kwa zamu majiko yaliyobakia, hivyo kusababisha usumbufu mkubwa sana.

- Picha na Mohamed Mambo.

No comments:

WATEMBELEAJI