
Uvaaji huu siupendi kabisa, na huwa najiuliza sana....maana yake hasa ni nini? Sipati jibu, kuna kipindi nilimwuliza swali hili kijana mmoja, alinijibu; kuwa mimi ni mshamba tu.....na nimepitwa na wakati, pia alisema; wasichana hupenda sana mvao huu....sasa sijui ni kweli?
No comments:
Post a Comment