Tuesday, April 3, 2012

MAKONDA NA MADEREVA WACHAFU KUKIONA CHA MOTO-IRINGA.

Makondakta wa daladala Mjini Iringa.....wakizichapa kavu kavu baada ya kutaniana juu ya uchafu.

Mamlaka ya uthibiti wa Leseni za majini na nchi kavu (SUMATRA) Mkoani Iringa....imejipanga kuwachukulia hatua kali Makondakta na Madereva wa daladala wachafu. Na wale wote wanaofanya kazi katika vyombo vya usafirishaji abiria.

No comments:

WATEMBELEAJI