Sunday, April 15, 2012

MANENO MAZURI YA JUMAPILI YA 2 YA PASKA!

Pokeeni furaha ya utukufu wenu, mshukuruni Mungu aliyewaita kwa ufalme wake wa mbinguni.......Aleluya!

Ee Mungu mwenye huruma ya milele, unawasha imani ya Taifa lako katika sikukuu hii ya Paska. Utuzidishie hiyo imani uliyotujalia, tupate wote kuelewa vyema kwamba tumetakaswa kwa maji, tumepata uzima mpya kwa Roho na kukombolewa kwa damu.

Lete mkono wako uutie ubavuni mwangu; wala usiwe asiyeamini, bali aaminiye........Aleluya!

No comments:

WATEMBELEAJI