Sunday, April 22, 2012

MANENO MAZURI YA JUMAPILI YA 3 YA PASKA!

Mpigieni Mungu kelele za shangwe nchi yote, imbeni utukufu wa jina lake.....tukuzeni sifa zake.....Aleluya!

Ee Bwana, tunakuomba utuangalie kwa wema sisi Taifa lako. Utujalie tufufuke na miili mitukufu, sisi ambao umependa kutufanya wapya kwa mafumbo haya ya milele.

No comments:

WATEMBELEAJI