Monday, April 2, 2012

MITIHANI YA BARABARANI HII......MIKUMI NATIONAL PARK.


Wa mbele yangu ameshafaulu kupita.........kama dereva inabidi nivute subira na kuwa tayari kwa lolote, maana kama jamaa watakasirika na kubadili mwelekeo kunifuata basi ni kutulia tu! kuwa mpole. Jamaa hawa wanauwezo wa kukiponda kifaru changu na atakayekuja asiamini kuwa ilikuwa ni gari. Pichani ni Mikumi National Park.

- Picha na maneno haya kutoka kwa; Maggid Mjengwa.

No comments:

WATEMBELEAJI