Saturday, April 7, 2012

SALAMU ZA HERI YA PASAKA, KUTOKA NGOMA AFRICA a.k.a FFU.



Bendi maarufu ya muziki wa dansi Barani Ulaya ''Ngoma Africa Band a.k.a FFU'' Ughaibuni, inawatakia kila la heri na furaha katika sikukuu ya Pasaka.......Pasaka njema kwa wadau wote popote pale mlipo!

Tafadhali usikose kuburudika na muziki at www.ngoma-africa.com
Wasiliana na FFU at contact@ngoma-africa.com

1 comment:

Anonymous said...

kikosi kazi cha FFU aka Ngoma Africa Band,vichaa kazi wanaiweza

WATEMBELEAJI