Monday, April 23, 2012

TAIFA LA KESHO!

Ukitaka kubadili Taifa lako, usipoteze muda wako kwa kubadili fikra za watu wazima. Rudi kwa Watoto.....Taifa lijalo, Taifa tulitegemealo; wape elimu ya haki na upendo daima.....hapa Taifa litaokoka.
Aliyelamba rushwa....kashalamba tu! kamwe haachi.

No comments:

WATEMBELEAJI